ohh what, is 2012 already?
accoding to the movie ni kama vile haya ndo matukio yenyewe yatakavyookuwa 2012; hoolywood doomsday hahaa haaa kinachonifurahisha ni marekani kujiweka position ya noah kwenye ile safina
wadau manaionaje hii movie
niaje maana naona watu wengi wanahisi kama kweli ivi kiama hichi kiko karibu,hadi mi nisiyeamini katika hii movie naanza woga.
niaje mwaonaje nipeni maoni yenu
No comments:
Post a Comment