Friday, February 26, 2010

mtafutaji na mjasiriamali wadau hii niaje?

leo nimesikia maneno hayo mawili yakijadiliwa kwamba mjasiliamali ni tofauti mtafataji.tafsiri yangu ikaja kwetu jinsi tunavyoyatumia nadhani huwa tunamanisha kitu kimoja tukisema jamaa ni "hustler" we mean jamaani bonge la mjasiliamali so whats i mean here ni kwamba saa nyingine lugha doesnt matter ni vile tu tukiongea tunaelewana wenyewe.
au vp wadau mnaonaje hii?

1 comment: