Friday, August 27, 2010

BOXING TANZANIA (YA TBF) NI UTUMBO

Na hasira nao viongozi wajiuzuru haraka,haiingii akilini mara yakwanza walishindwa kuwalipia wageni hoteli kwamba ni nje ya makubaliano
ila hii ya pili ni kali ya n timu (ya mabondia) ikale majumbani kwao halafu warud! kupiganaahh hata ningekuwa maimi nisingerudi hizi dharau halafu ni kashfa kwa kazi yao bana!

No comments:

Post a Comment